• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 20, 2015

  LIVERPOOL YAFUMULIWA 3-0 NA WATFORD LIGI KUU ENGLAND

  Mshambuliaji wa Watford, Odion Ighalo akifumua shuti mbele ya beki wa Liverpool, Martin Skrtel kuifungia bao la pili dakika ya 15 timu yake katika ushindi wa 3-0 jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road. Mabao mengine ya Watford yamefungwa na Nathan Ake dakika ya tatu Ighalo tena dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAFUMULIWA 3-0 NA WATFORD LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top