• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 28, 2015

  AZAM FC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA UWANJA WA CHAMAZI

  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka beki wa Kagera Sugar, Salum Kanoni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 2-0
  Didier Kavumbangu wa Azam FC, akimuacha chini beki wa Kagera Sugar
  Kavumbangu (kushoto) akimpitakwa maarifa ya kiwango cha juu beki wa Kagera Sugar
  Winga wa Azam FC, Farid Mussa akiwachambua wachezaji wa Kagera Sugar
  Beki Shomary Kapombe wa Azam FC, akijiandaa kutia krosi mbele ya beki wa Kagera Sugar
  Kipre Tchetche (kushoto) akipambana na Salum Kanoni jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA UWANJA WA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top