Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akipongezwa na wachezaji wenzake usiku huu baada ya kufunga akiichezea mechi ya 500 timu hiyo katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Real Betis kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Nou Camp. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Luis Suarez mawili na Heiko Westermann aliyeuwahi mpira uliogonga mwamba na kurudi uwanjani baada ya mkwaju wa penalti wa Neymar, ambaye pia alifunga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment