Mshambuliaji wa Manchester City, Wilfried Bony akienda hewani kuifungia kwa kichwa timu yake bao la kwanza katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Swansea Uwanja wa Etihad jioni ya leo. Bao lingine la City lilifungwa na Kelechi Iheanacho aliyejifunga baada ya kubabatizwa na mpira uliopigwa na Yaya Toure, huku bao la Swansea likifungwa na Bafetimbi Gomis PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment