Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine (katikati ya walioketi) akiwa na washiriki wa kozi ya ngazi ya chini (Grassroots) wakati wa hafla fupi ya kuifunga leo nje ya ukumbi wa mikutano wa shirikisho hilo, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment