EDIBILY LUNYAMILA NA SEKILOJO CHAMBUA WALIKUWA 'WASHIKAJI' SANA
Wachezaji nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Edibily Jonas Lunyamila (kulia) na Sekilojo Chambua (kushoto) wakiwa Uwanja wa Taifa wa Cairo, Misri kabla ya mchezo dhidi ya wenyeji mwaka 1995.
0 comments:
Post a Comment