• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 22, 2015

  KIKOSI CHA SIMBA SC 'KILICHONYOROSHWA' NA VIJANA WA MATOLA GEITA JANA

  Kikosi cha Simba SC kilichofungwa 3-1 na Geita Gold Mine inayofundishwa na kocha Suleiman Matola, katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa shule ya Wajja Spring, Geita. Kutoka kulia kocha Dylan Kerr, Awadh Juma, Joseph Kimwaga, Paul Kiongera, Brian Majwega, Said Issa, Hajji Ugando, Daniel Lyanga, Novat Lufunga, Emery Nimubona na Mohammed Fakhi. Aliyechuchumaa mbele ni kipa Peter Manyika 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA SIMBA SC 'KILICHONYOROSHWA' NA VIJANA WA MATOLA GEITA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top