Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akisikitika baada ya kukosa penalti katika mchezo wa La Liga dhidi ya Real Sociedad usiku wa leo. Hata Ronaldo alifunga mabao mawili baadaye moja kwa penalti, Real ikishinda 3-1 Uwanja wa Bernabeu, bao lingine akifunga Lucas Vazquez wakati la Sociedad limefungwa na Lucas Vazquez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
What's happening at United this week?
-
Check out our handy guide as we prepare for another exciting seven days.
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment