• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 27, 2015

  YANGA SC NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe (kushoto) akimiliki mpira mbele ya beki wa Mbeya City FC, Tumba Swedi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 3-0
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma akimiliki mpira mbele ya beki wa Mbeya City, Tumba Swedi jana
  Kiungo wa Yanga SC, Thabani Kamusoko akiwatoka wachezaji wa Mbeya City
  Beki wa Yanga SC, Juma Abdul akiwatoka wachezaji wa Mbeya City
  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimtoka beki wa Mbeya City
  Donald Ngoma akimuacha chini beki wa Mbeya City jana Uwanja wa Taifa

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top