• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 25, 2015

  HAJJI MANARA KATIKA RANGE NYEKUNDU, NI MAJIBU KWA JERRY MURO?

  Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC , Hajji Sunday Manara akiwa mbele ya gari aina ya Range Rover Sport nyekundu katika eneo la kuegeshea magari yanayouzwa. Haikujulikana mara moja kama mtoto huyo wa kiungo wa zamani wa Yanga SC, Sunday Manara 'Kompyuta' alikuwa anataka kununua gari hilo, au amepiga picha tu. Hivi karibuni, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga SC, Jerry Muro alimtambia Hajji kwamba yeye anaendesha gari zuri ambalo Ofisa huyo wa Simba SC hana. Tuseme Hajji anataka kumjibu Jerry Muro?  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAJJI MANARA KATIKA RANGE NYEKUNDU, NI MAJIBU KWA JERRY MURO? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top