Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa kuendesha droo ya pili ya promosheni ya Airtel Mkawnjika, ambayo washindi 28 kutoka katika mikoa mbalimbali walipatikana. Wanaoshuhudia ni Msimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao (katikati) na Ofisa Masoko wa Airtel, Rebecca Mauma (kulia)
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago


.png)
0 comments:
Post a Comment