• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 20, 2015

  YANGA SC NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma akimtoka beki wa Stand United, Nassor Masoud 'Chollo' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 4-0

  Kiungo wa Yanga SC, Thabani Kamusoko akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Stand United, Amri Kiemba (kulia) na Jacob Masawe (katikati)

  Donald Ngoma wa Yanga SC akimtoka Nassour Masoud 'Chollo' wa Stand United
  Beki wa Yanga SC, Juma Abdul (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Stand United Abuu Ubwa (kulia)

  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akitafuta maarifa ya kumpita Nassor Masoud 'Chollo'
  Kipa wa Stand United, Frank Muwonge akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top