• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 16, 2015

  KAMA UNALIPWA VIZURI KATIKA TIMU, UNAFURAHIA TU HATA 'KUSUGUA' BENCHI

  Wachezaji wa Azam FC, Mrundi Didier Kavumbangu (kushoto), Mkenya Allan Wanga (katikati) na Ramadhani Singano Messi (kulia) wakifurahia benchi wakati timu yao ikimenyana na Simba SC Jumamosi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliomalizika kwa sare ya 2-2

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KAMA UNALIPWA VIZURI KATIKA TIMU, UNAFURAHIA TU HATA 'KUSUGUA' BENCHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top