• HABARI MPYA

  Tuesday, December 22, 2015

  YANGA SC KATIKA MAZOEZI LEO UWANJA WA BOKO

  Beki wa Yanga SC, Mbuyu Twite akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji, Issoufou Boubacar Garba katika mazoezi ya timu hiyo leo asubuhi Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam
  Kiungo Said Juma 'Makapu' akijaribu kumfunga kipa Benedicto Tinocco mazoezini leo
  Simon Msuva (kushoto) akiongoza mazoezi ya kukimbia
  Mshambuliaji Paul Nonga mwenye jezi za kijani akinywa maji wakati wa mapumziko mafupi kabla ya kuendelea na mazoezi
  Kocha wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm akitoa maelekezo kwa wachezaji wake
  Kutoka kulia Salum Telela, Juma Abdul na Oscar Joshua wakizungumza huku wakiendelea na mazoezi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC KATIKA MAZOEZI LEO UWANJA WA BOKO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top