ABUBAKAR SALUM 'SURE BOY' ENZI ZAKE ALIKUWA HAKAMATIKI!
Winga wa Yanga SC, Abubakar Salum 'Sure Boy' akimtoka beki wa Simba SC, Iddi Selemani 'Meya' katika moja ya mechi za Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu ya Vodacom) Tanzania Uwanja wa Taifa (sas Uhuru), Dar es Salaam mwianzoni mwa miaka ya 1990
0 comments:
Post a Comment