• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 20, 2015

  BARCELONA WAFANYA KILICHOTARAJIWA, WATWAA KOMBE LA DUNIA JAPAN

  Nahodha wa Barcelona, Andres Iniesta akiwa ameshika Kombe la Klabu Bingwa ya Dunia walilotwaa leo baada ya kuifunga River Plate ya Argentina mabao 3-0 mjini Yokohama, Japan. Mabao ya Barca yamefungwa na Luis Suarez mawilki na Lionel Messi moja PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA WAFANYA KILICHOTARAJIWA, WATWAA KOMBE LA DUNIA JAPAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top