• HABARI MPYA

  Wednesday, December 23, 2015

  OMAR CHOGO ENZI ZAKE ALIKUWA MTU WA 'BATA' PIA

  Beki aliyewika katika kikosi cha Simba SC kilichofanya vizuri zaidi miaka ya 1970 kikifika Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika mwaka 1974, kikichukua Kombe la Afrika Mashariki na Kati (sasa Kagame) 1974 na kuifunga Yanga SC 6-0 mwaka 1978, Omar Chogo (kulia, sasa marehemu) akifurahia na mkewe enzi za uhai wake baada ya kazi. Chogo aliwika kwa staili yake maarufu ya 'Chogo Chemba' ambayo ilikuwa tishio kwa washambuliaji enzi hizo. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OMAR CHOGO ENZI ZAKE ALIKUWA MTU WA 'BATA' PIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top