• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 31, 2015

  AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

  Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akijaribu kufumua shuti langoni mwa Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
  Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akimiliki mpira mbele ya beki wa Mtibwa Sugar, Issa Rashid 'Baba Ubaya'
  Beki wa Mtibwa Sugar,Andrew Vincent akipambana na mshambuliaji wa Mtibwa Sugar
  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche (kulia) akiwatoka wachezaji wa Mtibwa
  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akipasua katikati ya wachezaji wa Mtibwa Sugar
  Kikosi cha Azam FC jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top