• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 20, 2015

  REAL MADRID WAOTEA VIBONDE LA LIGA, WAWATANDIKA 10-2 RAYO VALLECANO...BALE APIGA NNE, BENZEMA TATU

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale (katikati) akiifungia timu yake katika mchezo wa La Liga dhidi ya Rayo Vallecano jioni ya leo. Real imeshinda 10-2, Bale akifunga mabao manne dakika za 25, 41,61 na 70, mengine yakifungwa na Danilo Luiz da Silva dakika ya tatu, Cristiano Ronaldo kwa penalti dakika ya 30, 53 na Karim Benzema matatu dakika za 48, 79 na 90, wakati ya Rayo Vallecano yamefungwa na Antonio Amaya dakika ya 10 na Jozabed Sanchez Ruiz dakika ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID WAOTEA VIBONDE LA LIGA, WAWATANDIKA 10-2 RAYO VALLECANO...BALE APIGA NNE, BENZEMA TATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top