FUNDI ZAMOYONI MOGELLA ENZI ZAKE MABEKI WALITULIZA AKILI KUMKABA!
Mshambuliaji wa Simba SC, Zamoyoni Mogella kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Yanga SC, Yussuf Ismail ‘Bana’ katika mechi ya Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu ya Vodacom) Tanzania Bara miaka ya 1980. Katikati yao ni Muhiddin Cheupe
0 comments:
Post a Comment