• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 17, 2015

  SUAREZ APIGA HAT TRICK BARCELONA YAUA 3-0 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA


 • Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao yote matatu katika ushindi wa 3-0 mjini Yokohama, Japan kwenye mchezo wa Nusu Fainali Klabu Bingwa ya Dunia mchana wa leo dhidi ya Guangzhou Evergrande. Suarez alifunga dakika ya 39 akiuwahi mpira uliookolewa baada ya shuti la Ivan Rakitic, dakika ya 50 kwa shuti na dakika ya 67 kwa penalti na sasa Barca itakutana na River Plate ya Argentina katika fainali keshokutwa  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SUAREZ APIGA HAT TRICK BARCELONA YAUA 3-0 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top