HAYA NDIYO MAJIBU YA NIYONZIMA BAADA YA KUSIMAMISHWA YANGA SC!
Kiungo Haruna Niyonzima ameposti picha hii akiwa anatabasamu mbele ya bendera ya Rwanda katika ukurasa wake wa Facebook, saa chache tu baada ya klabu yake kumsimamisha kwa utovu wa nidhamu, ikimtuhumu kuchelewa kurejea klabuni baada ya ruhusa ya kwenda kuichezea timu yake ya taifa, Rwanda. Je, Niyonzima anawapa ujumbe gani Yanga hapa?
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment