• HABARI MPYA

  Monday, December 21, 2015

  AMISSI TAMBWE SASA ANATUMIA GARI LA 'KIFISADI' YANGA SC

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrundi Amissi Tambwe akitoka kwenye gari lake aina ya Toyota Land Cruiser kuelekea mazoezini leo asubuhi.

  Hili ndilo gari la Tambwe, ambalo amesema limemgharimu dola za Kimarekani 23,500 (zaidi ya Sh. Milioni 47 za Tanzania)
  Amissi Tambwe hapa anaelekea kwenye gari lake baada ya mazoezi tayari kurejea anapoishi
  Tambwe anaonekana anafurahia maisha ndani ya klabu ya Yanga SC, aliyojiunga nayo misimu miwili iliyopita kutoka kwa mahasimu, Simba SC

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AMISSI TAMBWE SASA ANATUMIA GARI LA 'KIFISADI' YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top