• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 17, 2015

  YANGA SC NA AFRICAN SPORTS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA MKWAKWANI

  Kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Yanga SC, Mkongo Mbuyu Twite (kulia) na Godfrey Mwashiuya (kushoto) baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika za lala salama jana katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji African Sports Uwanja wa Mkwakwani, Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
  Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akimtoka beki wa African Sports jana
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Simon Msuva akipambana na wachezaji wa African Sports
  Beki wa African Sports, Rahim Juma akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma
  Donald Ngoma wa Yanga SC akimiliki mpira mbele ya Rahim Juma wa African Sports
  Thabani Kamusoko wa Yanga SC akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa African Sports
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC NA AFRICAN SPORTS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top