• HABARI MPYA

  Saturday, December 26, 2015

  MAN UNITED YATANDIKWA 2-0 NA STOKE CITY LIGI KUU ENGLAND

  Nyota wa Manchester United, Memphis Depay akiruka kichwa bila mafanikio kumuokoa kipa wake David de Gea, lakini akashindwa kumzuia Glen Johnson kuifungia Stoke City katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mashetani hao Wekundu, bao lingine likifungwa na Marko Arnautovic Uwanja wa Britannia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YATANDIKWA 2-0 NA STOKE CITY LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top