• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 19, 2015

  MWANA SIMBA PROFESA MAJI MAREFU AONYESHA 'JEURI YA FWEZA'

  Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani 'Profesa Maji Marefu' ambaye pia ni mpenzi na mwanachama wa Simba SC, akiwa mbele ya gari jipya la kifahari wiki hii, baada ya kukamilisha usajili wake akiweka jina lake kwenye kibao cha namba za gari.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWANA SIMBA PROFESA MAJI MAREFU AONYESHA 'JEURI YA FWEZA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top