• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 21, 2015

  AZAM FC ILIVYOVUNA POINTI TATU UWANJA WA MAJIMAJI JANA

  Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu (kushoto) akiwania mpira dhidi ya mchezaji wa Majimaji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Majimaji mjini Songea. Azam FC ilishinda 2-1
  Wachezaji wa Azam FC baada ya dua kabla ya mchezo wa jana
  Sekeseke kwenye lango Majimaji, wachezaji wakisubiri mpira wa kona 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOVUNA POINTI TATU UWANJA WA MAJIMAJI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top