• HABARI MPYA

  Monday, December 21, 2015

  JKT RUVU NA COASTAL UNION 'ZILIVYOTOSHANA NGUVU' JANA KARUME

  Mshambuliaji wa Coastal Union ya Tanga, Mnigeria Abasarim Chidiebele akimtoka kiungo wa JKT Ruvu, Hamisi Shengo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Timu hizo zilkitoka 2-2. (Picha kwa hisani ya Francis Dande)

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JKT RUVU NA COASTAL UNION 'ZILIVYOTOSHANA NGUVU' JANA KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top