// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MWANZA WAICHAPA MARA 6-1 TAIFA CUP YA WANAWAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MWANZA WAICHAPA MARA 6-1 TAIFA CUP YA WANAWAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, January 01, 2015

    MWANZA WAICHAPA MARA 6-1 TAIFA CUP YA WANAWAKE


    Kikosi cha Timu ya Mara (jezi Nyekundu) wakisalimiana na Marefa wa mchezo huo tayari kwa Mtanange wa Women Taifa Cup kuzinduliwa leo jijini Mwanza kwa Kuzikutanisha timu za Mwanza na Mara. Mwanza ilishinda 6-1.
    Baadhi ya Viongozi wa Mpira wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Viongozi wa TFF na Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ndio wadhamini wakuu wa Mashindano hayo Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya Mechi ya uzinduzi wa Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Wanawake yajulikanayo kama Women Taifa Cup kuanza katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo.
     Kikosi Cha Timu ya Mwanza kikiwa tayari kukabiliana na Timu ya Musoma
     Kikosi cha timu ya Mara 
    Mtanange ukiendelea
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWANZA WAICHAPA MARA 6-1 TAIFA CUP YA WANAWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top