IMEWEKWA AGOSTI 4, 2013 SAA 4:13 USIKU
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wao wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo.
|
Jerry Tegete kulia akielekea kumuona kipa wa Mtibwa Sugar, Hussein Sharif 'Cassilas' |
Jerry Tegete akitafuta mbinu za kumlamba chenga Paul Ngalema |
Jerry Tegete akimtoka Paul Ngalema |
Tegete akiwatoka mabeki wa Mtibwa |
Nimtoke vipi huyu |
Said Bahanuzi akiteseka katikati ya mabeki wa Mtibwa Sugar |