• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 24, 2013

  YANGA SC ILIVYOWAKARIBISHA LIGI KUU WAUZA MITUMBA WA ILALA LEO KWA 'MKONO'


   Wachezaji wa Ashanti United wakisalimiana na wachezaji wa Yamnga kabla ya mchezo. (Picha na Habari Mseto Blog)
   Beki wa Ashanti United, Ramadhani Malima akichuana na mshambuliaji wa Yanga, Hussein Javu, katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 5-1. 
  Wachezaji wa Yanga wakiwa katika ya pamoja.
   Beki wa Ashanti United, Emanuel Kichiba (kushoto), akichuana na kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 5-1.

  Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wa bao 5-1.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOWAKARIBISHA LIGI KUU WAUZA MITUMBA WA ILALA LEO KWA 'MKONO' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top