• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 24, 2013

  MAN UNITED YAKARIBIA KUWANASA BAINES NA FELLAINI, EVERTON YALAINIKA...

  IMEWEKWA AGOSTI 24, 2013 SAA 3:57 ASUBUHI
  KOCHA David Moyes anakaribia kushinda vita yake ya kuwania saini za wachezaji wa Everton, Leighton Baines na Marouane Fellaini baada ya kuibuka kwa taarifa kwamba, klabu yake ya zamani iko tayari kuwauza nyota wake hao.
  Everton imekuwa ikilalama dhidi ya Moyes na Manchester United tangu ikatae ofa ya mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England ya Pauni Milioni 28 kwa ajili ya nyota hao wawili wa Goodison Park.
  Wamekubaliana na ofa hiyo na kocha wa Everton, Roberto Martinez ameisifu United imekuwa na tabia nzuri.
  Coming for you: David Moyes is desperate to land his former players Leighton Baines and Marouane Fellaini
  Nakuja kwako: David Moyes anakaribia kuwanasa wachezaji wake wa zamani Leighton Baines na Marouane Fellaini
  Looking good: Baines was in training with Everton ahead of the weekend's game against West Brom
  Anaonekana vizuri: Baines akiwa mazoezini na Everton
  Staying or going? Fellaini (right) and Baines are both likely to play a part against West Brom
  Anabaki au anaondoka? Fellaini (kulia) na Baines mazoezini na Everton kujiandaa na mchezo dhidi ya West Brom
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MAN UNITED YAKARIBIA KUWANASA BAINES NA FELLAINI, EVERTON YALAINIKA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top