• HABARI MPYA

    Wednesday, August 21, 2013

    NYOTA MAN UNITED WAPIGA PAMBA, WABEBA WAKE NA MAHAWARA ZAO KWA MTOKO WA CHAKULA CHA USIKU...NI SWAGA ZA AINA ZOTE

    IMEWEKWA AGOSTI 21, 2013 SAA 4:00 ASUBUHI
    KLABU ya Manchester United ilianza Ligi Kuu Egland kwa ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya Swansea Jumamosi na ikaonekana kikosi kipo kamili.
    Lakini vijana wa David Moyes walionekana Jijini jana usiku kwa mtoko wa chakula cha pamoja kama timu, wakitoka na wake zao na mahawara.
    Huku tetesi zikiuzunguka mustakabali wake katika klabu hiyo, mshambuliaji Wayne Rooney alitoka na mkewe Coleen, na kupunguza shaka juu ya mustakabali wake katika klabu.
    Rooney Coleen
    Moyes
    Mtoko na mama watoto: Rooney akiwasili na mkewe Coleen (kushoto), wakati Moyes akionekana poa baada ya ushindi wa pili kazini
    Johnny Evans arrives with his wife Helen McConnell
    Vidic
    Katikati ya mji: Johnny Evans akiwasili na mkewe Helen McConnell (kushoto), wakati Nemanja Vidic akitembea na mkewe, Ana Ivanovic huko Deansgate, Manchester

    Rooney aliungana na Moyes pamoja na wachezaji wenzake wakiwemo Rio Ferdinand, Nemanja Vidic, Danny Welbeck, Wilfried Zaha na Tom Cleverley huko Deansgate katikati ya mji wa Manchester. 
    Wakati nyota wa Ligi Kuu wakitembea kwenda kukutana na wachezaji wenzao wa United, beki wa kati, Ferdinand alizuiwa na wapita njia kwa ajili ya kupiga nao picha.
    Kocha wa Chelsea, Mourinho tayari amekwishatuma ofa mbili kwa ajili ya Rooney, lakini amesistiza kupigania saini ya mchezaji huyo wa England hadi mwisho. 
    Mapema jana, alisema: 'Wakati unafikiri ungependa kuwa na mchezaji mmoja na soko liko wazi na ofa rasmi haijatolewa, ofa rasmi wakati wote inakubaliwa katika njia za kimaadili, unajaribu kwa sababu hakuna anayekuzuia kujaribu.
    Photo opportunity: Rio Ferdinand poses with a fan on Deansgate in Manchester
    Nafasi ya picha;Rio Ferdinand akipiga picha na shabiki huko Deansgate, Manchester
    Chris Smalling
    Cleverley
    Beki Chris Smalling (kushoto) akiwasili na mpenzi wake, na kiungo Tom Cleverley (kulia) na hawara yake, Georgina Dorsett 
    Robin and Bouchra van Persie.
    Ryan and Stacey Giggs
    Kila mtu na wake: Robin na Bouchra van Persie (kushoto) akiwasili na kulia ni Ryan na Stacey Giggs
    Zaha Welbeck
     David DeGea and Antonio Valencia.
    Masela: Danny Welbeck, Wilfried Zaha, David De Gea na Antonio Valencia wakitembea
    Cavalry: Alexander Buttner, Rio Ferdiand and Shinji Kagawa arrive at the team bonding meal in Manchester
    Miamba: Alexander Buttner, Rio Ferdiand na Shinji Kagawa wakiwasili kwa chakula cha timu mjini Manchester
    Ashley Young and girlfriend
    Phil Jones
    Kwa raha zao: Ashley Young (kushoto) na Phil Jones (kulia) First win: United celebrated after beating Swansea 4-1 on Saturday
    Ushindi wa kwanza: United wakishangilia baada ya kuifunga Swansea 4-1 Jumamosi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: NYOTA MAN UNITED WAPIGA PAMBA, WABEBA WAKE NA MAHAWARA ZAO KWA MTOKO WA CHAKULA CHA USIKU...NI SWAGA ZA AINA ZOTE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top