• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 23, 2013

  SPURS YAUA 5-0 ULAYA...BALE WA NINI TENA NA AENDE ZAKE

  IMEWEKWA AGOSTI 23, 2013 SAA 11:06 ALFAJIRI
  BORA kwako kucheza kwenye Uwanja usio na mashabiki wa kutosha Tbilisi, au kuhamia Bernabeu Madrid? 
  Unataka kucheza Ligi ya Mabingwa au Europa League? Usiku wa Jumatano katika ITV1 au Alhamisi usiku katika ITV4? Huna akili, sawa? 
  Hiyo ndiyo picha ya Gareth Bale mjini London Alhamisi usiku, akiangalia wachezaji wenzake kwenye TV wakicheza mechi ya kwanza ya Europa League kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la UEFA ndogo dhidi ya Dinamo Tbilisi.
  Dinamo Tbilisi: Loria, Khurtsilava, Giorgi Gvelesiani, Kvaratskhelia, Glisic (Papava 46), Grigalashvili, Dzaria, Kvirkvelia, Merebashvilli, Xisco (Vouho 42), Dvali. 
  Katika mchezo huo, ilishinda 5-0, mabao yake yakiwekwa nyavuni na Townsend dakika ya 12, Paulinho dakika ya 44, Soldado dakika ya 58 na 67 na Rose dakika ya 64.
  Kikosi cha Spurs jana kilikuwa: Lloris, Naughton, Dawson, Kaboul, Rose, Paulinho/Carroll dk71, Dembele, Capoue, Sigurdsson/Chadli dk61, Townsend, Soldado/Kane dk71. 
  Double act: Roberto Soldado (left) hit two and Paulinho got on the scoresheet as new-look Spurs shone
  Mawili nyavuni: Roberto Soldado (kushoto) alifunga mawili na Paulinho alifunga pia
  Delight: Andros Townsend (right) celebrates with Soldado after putting Spurs ahead
  Mtu wa raha: Andros Townsend (kulia) akishangilia na Soldado 
  Cool finish: Soldado strokes Spurs' third past Giorgi Loria to put them 3-0 up
  Soldado akiifungia bao la tatu Spurs
  Screamer: Danny Rose hit a rasping shot for the pick of the goals, giving Spurs a 4-0 lead
  Danny Rose akifunga
  Clinical: Soldado steers Nacer Chadli's cross beyond Loria
  Soldado akimtungua Nacer Chadli kwa krosi ya Loria
  All white on the night: Spurs celebrate Rose's goal
  Jezi nyeupe zinang'ara: Spurs wakishangilia bai la Rose
  Aerial attack: Paulinho attempts a bicycle kick in the Dinamo box
  Anabinuka: Paulinho anabinuka kupiga mpira mbele ya mchezaji wa Dinamo kwenye boksi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: SPURS YAUA 5-0 ULAYA...BALE WA NINI TENA NA AENDE ZAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top