• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 21, 2013

  MAMIA YA WANAMICHEZO WASHIRIKI MAZISHI YA GWIJI WA ZAMANI YANGA SC JIONI HII DAR ES SALAAM

  IMEWEKWA AGOSTI 21, 2013 SAA 12:11 JIONI
  Mwili wa aliyekuwa mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Baraka Kitenge aliyefariki dunia jana ukiteremshwa kutoka katika jeneza lake tayari kwa mazishi kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam jioni ya leo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MAMIA YA WANAMICHEZO WASHIRIKI MAZISHI YA GWIJI WA ZAMANI YANGA SC JIONI HII DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top