• HABARI MPYA

    Monday, August 19, 2013

    MASHABIKI 'WALIOPINDA' WAKINUKISHA ARSENAL..WAMLIMA MEMO MTENDAJI MKUU WAKIMUAMBIA "INATOSHA"

    IMEWEKWA AGOSTI 19, 2013 SAA 4: 19 ASUBUHI
    MASHABIKI wenye hasira wa Arsenal wamemuandiki barua kali Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo Ivan Gazidis wakitaka kuona mabadiliko kwenye sera ya usajili ya timu hiyo baada ya vijana wa Arsene Wenger kuchapwa na Aston Villa kwa mabao 3-1 kwenye siku ya kwanza ya msimu.
    Kichapo hicho cha Villa kimewatia hasira mashabiki wa klabu hiyo ambao wamechoshwa na mwelekeo wa klabu hiyo chini ya Stan Kroenke.
    Arsenal wanafedha nyingi benki, wamelikuwa na faida kubwa na wanadau la pauni milioni 70 mkononi kwa ajili ya usajili, licha ya kelele zao zote wameshindwa kupambana na klabu tajiri za Ulaya kwenye soko la usajili.
    VIDEO Nenda chini kaangalie Paul Lambert na Arsene Wenger wakizungumzia mchezo
    Disappointing: Arsenal fans have sent an angry letter to Ivan Gazidis (above) after he promised signings this summer
    Anakatisha tamaa: Mashabiki wa Arsenal wamemtumia barua kali Ivan Gazidis (juu) baada ya kuahidi usajili

    Viongozi wa klabu hiyo wamedai kwamba wahukumiwe baada ya usajili kufungwa Septemba 2, mwaka huu, lakini Ligi Kuu England imeanza na usajili pekee wa Wenger ni kinda wa miaka 20, Yaya Sanogo bure kutoka Auxerre.
    Sanogo alianzia benchi dhidi ya Villa wakati Christian Benteke, mshambuliaji ambaye aliomba kuhama Villa Park wakati huu wa kiangazi kabla ya kuamua kubaki akifunga mara mbili.
    Arsenal wanaweza kujitetea kwamba maamuzi yaliwabana, lakini mechi ya Villa imeonyesha jinsi gani wana msimu mgumu mbele yao na kuzua mvutano kati ya wanaomuunga mkono Wenger na wale wanaotaka kuona mabadiliko.Splash the cash: An Arsenal fan sends a clear message to Wenger
    Tumia fedha: Mashabiki wa Arsenal wanafikisha ujumbe kwa Wenger
    Gibbs is escorted off the pitch with a head injury

    Tumia fedha: Mashabiki wa Arsenal wanafikisha ujumbe kwa Wenger
    Gonzalo Higuain
    Arsene: Defeat is a big disappointment
    Arsenal fans angry
    Splash the cash: Arsenal fans vent their anger at the Aston Villa game
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MASHABIKI 'WALIOPINDA' WAKINUKISHA ARSENAL..WAMLIMA MEMO MTENDAJI MKUU WAKIMUAMBIA "INATOSHA" Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top