• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 20, 2013

  WACHEZAJI BAYERN MUNICH NA KOCHA WAO GUARDIOLA WAKATA BIA HADI KUJIMWAGIA...MUISLAMU FRANCK RIBERY SASA...

  IMEWEKWA AGOSTI 20, 2013 SAA 5: 55 USIKU
  SI kitu ambacho unaweza kuwaona makocha wa Ligi Kuu ya England wakifanya. Vema, si mbele ya kamera, popote. 
  Picha za kuzindua msimu za Bayern Munich, zinawaonyesha mabingwa hao wa Ulaya wakionja pombe aina ya Oktoberfest baada ya kuanza msimu kwa kishindo.
  Team outing: Munich players and coaches line up ahead of their photo call for Oktoberfest
  Timu nje: Wachezaji wa Munich wakiwa katika picha ya pamoja na makocha wao wakifurahia Oktoberfest
  Dig in: Manager Pep Guardiola (front left) and Spaniard Javi Martinez (bottom right) enjoy a Paulaner
  Mambo hayo: Kocha Pep Guardiola (mbele kushoto) na Mspanyola, Javi Martinez (chini kulia) wakifurahia Paulaner
  A toast: The German and European champions toast to a new season in the Bundesliga
  Mtungi: Mabingwa wa Ujerumani na Ulaya wakifurahia mwanzo mzuri Bundesliga

  Kocha mpya, Pep Guardiola aliyehamia Ujerumani kutoka Hispania, anaonekana aliye vizuri tu akifurahia Paulaner lager, akiwa na kikosi chake katika vazi la asili la Ujerumani.
  Ni mavazi ambayo kwa watu kama Bastian Schweinsteiger na Phillip Lahm wameonekana mara kadhaa wakiwa wamevaa kabla, lakini kwa watu wapya Guardiola, Thiago Alcantara na Mario Gotze, hii ilikuwa mara ya kwanza na walipendeza.
  Guardiola ameanza msimu kwa kipigo cha mabao 4-2 katika Super Cup ya Ujerumani kutoka kwa Dortmund, lakini akashinda mechi mbili mfululizo za Bundesliga, 3-1 dhidi ya Borussia Monchengladback na 1-0 dhidi ya Eintracht Frankfurt Jumamosi.
  Guardiola
  Gotze
  Mtu mpya: Guardiola (kushoto) akifurahia kaka ilivyo kwa mchezaji mpya Mario Gotze (kulia) baada ya kutua akitokea Borussia Dortmund majira ya joto
  Champions: Bayern have started their defence of the Bundesliga title with two wins in two games
  Mabingwa: Bayern imeanza kutetea ubingwa wa Ujerumani, Bundesliga kwa kushinda mechi mbili mfululizo
  Raise a glass: Guardiola and his coaching team will be hoping for similar success this season
  Inua glasi: Guardiola na benchi lake zima la ufundi watatumai kuendeleza wimbi la mafanikio msimu huu

  Timu ya Bayern walifurajia na majagi na bia hizo mbili za Ujerumani, na kusherehekea kushinda taji Bundesliga-msimu uliopita kwa kumwagiana lita za bia Allianz Arena kabla ya kupokea taji la 23 la ubingwa wa Ujerumani.
  Lakini kiungo Franck Ribery, ambaye ni muislamu safi, hakuwa mwenye furaha sana. Bahati nzuri kwake ni kwamba bia hiyo haikuwa na kilevi, na Mfaransa huyo alipigwa picha akiwa ameshika bia hiyo.
  Silver service: Munich's players celebrate with the trophy
  Mataji: Wachezaji wa Munich wakishereheeka na taji la Bundesliga baada ya kutwaa msimu uliopita
  Take that: Bastian Schweinsteiger is drenched in beer by team-mate Daniel van Buyten
  Chukua hiyo: Bastian Schweinsteiger akimwagiana na bia na mchezaji mwenzake, Daniel van Buyten
  Soaking: Bayern's Franck Ribery of France gets a shower of beer
  Franck Ribery akiogeshwa bia
  Wet: Ribery is drenched in the title celebrations

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: WACHEZAJI BAYERN MUNICH NA KOCHA WAO GUARDIOLA WAKATA BIA HADI KUJIMWAGIA...MUISLAMU FRANCK RIBERY SASA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top