• HABARI MPYA

    Sunday, August 25, 2013

    MAN CITY YAFUMULIWA 3-2 NA CARDIFF...DOGO WA OLD TRAFFORD AWAPIGA MABAO MAWILI HATARI YA KICHWA

    IMEWEKWA AGOSTI 25, 2013 SAA 3:08 USIKU
    MABAO mawili ya kichwa dakika za lala salama ya Fraizer Campbell tyameipa Cardiff ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya England, baada ya kuilaza Manchester City 3-2.
    Edin Dzeko alitangulia kuifungia timu ya Manuel Pellegrini dakika ya 52, lakini Cardiff ikasawazisha kupitia kwa Aron Gunnarsson dakika ya 60, kabla ya Campbell kufunga dakika za 79 na 87. 
    Alvaro Negredo akafungua akaunti yake ya mabao City kwa bao la dakika ya mwisho kabisa.
    Kikosi cha Cardiff City kilikuwa: Marshall; Connolly, Caulker, Turner, Taylor, Bellamy/Cowie dk83, Gunnarsson, Kim/Mutch dk90, Medel, Whittingham na Campbell/Cornelius dk90.
    Manchester City: Hart, Zabaleta, Garcia, Lescott, Clichy, Navas/Nasri dk55, Fernandinho/Milner dk77, Toure, Silva, Aguero na Dzeko/Negredo dk69. 
    Unlikely victory: Frazier Campbell scored twice in Cardiff's shock win over title contenders Manchester City
    Dogo noma: Frazier Campbell amefunga mabao mawili Cardiff ikiibwaga Manchester City
    Superb strike: Edin Dzeko's goal came on the back of Manuel Pellegrini demanding he score more goals
    Shuti hadi bao: Edin Dzeko akifunga
    Bruising battle: Fraizer Campbell is dispossessed by City goalkeeper Joe Hart
    Kifaa: Fraizer Campbell akimruka kipa wa City, Joe Hart
    Hapa ni namna Alvaro Negredo alivyoifungia Manchester City bao la pili - Gonga hapa kupata zaidi yaliyojiri Uwanja wa Cardiff City
    Negredo goal
    Midfield battle: Cardiff's Gary Medel vies for possession with City's Fernandinho
    Mpambano kwenye kiungo: Kiuno wa Cardiff, Gary Medel akipambana na kiungo wa City, Fernandinho
    Despair: City defender poorly for Aron Gunnarsson's equaliser
    Kizaazaa: Mabeki wa City wakiwa wameduwaa baada ya Aron Gunnarsson kusawazisha
    Frustration: Sergio Aguero can see victory slipping out of City's grasp
    Amepagawa: Sergio Aguero haamini kipigo
    Hero: Fraizer Campbell's goals could prove vital all season for the newly-promoted side
    Shujaa: Fraizer Campbell ameing'arisha timu mpya katika Ligi Kuu
    Pressure: Alvaro Negredo's late goal gave City a lifeline and ensured a nervy finish
    Hatari: Alvaro Negredo alifunga dakika ya mwisho
    Time to celebrate: Cardiff fans do the Poznan to mark Campbell's goal
    Wakati wa kusherehekea: Mashabiki wa Cardiff wakishangilia bao la Campbell
    Despair: Alvaro Negredo knows City are running out of time to equalise
    Majanga: Alvaro Negredo akisikitika chini
    Unconvincing: Joe Hart again struggled, suggesting his form is yet to recover
    Kipa bomu: Joe Hart ameonyesha tena hayuko katika kiwango kizuri
    United hero? Campbell came through the youth ranks at Old Trafford
    Shujaa wa United? Campbell ametokea kwenye akademi ya Old Trafford
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAN CITY YAFUMULIWA 3-2 NA CARDIFF...DOGO WA OLD TRAFFORD AWAPIGA MABAO MAWILI HATARI YA KICHWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top