• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 25, 2013

  LIVERPOOL YAENDELEA KUANGAMIZA BILA SUAREZ ENGLAND

  IMEWEKWA AGOSTI 25, 2013 SAA 7:05 USIKU
  NANI anamuhitahi Luis Suarez? Hilo ndilo lilikuwa swali kwa Brendan Rodgers baada ya Daniel Sturridge kufunga bao pekee la ushindi dakika ya 21 Uwanja wa Villa Park usiku huu dhidi ya wenyeji Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
  Kikosi cha Liverpool kilikuwa: Mignolet, Johnson, Toure, Agger, Enrique, Gerrard, Lucas, Henderson, Aspas/Cissokho dk68, Coutinho/Allen dk83 na Sturridge
  Aston Villa: Guzan, Lowton/El Ahmadi dk65, Okore, Vlaar, Luna, Westwood/Helenius dk83, Delph na Bacuna.
  Not a bad finish: Daniel Sturridge celebrates scoring for Liverpool in the first-half
  Shangwe za bao: Daniel Sturridge akishanilia baada ya kuifungia bao pekee Liverpool
  Skill: Sturridge rounded Aston Villa keeper Brad Guzan to score the opener
  Maujuzi: Sturridge akimzunguka kipa wa Aston Villa, Brad Guzan kabla ya kufunga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: LIVERPOOL YAENDELEA KUANGAMIZA BILA SUAREZ ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top