• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 28, 2013

  ARSENAL UTAIPENDA HATA KISIRI SIRI...YAFUZU KIUME HATUA YA MAKUNDI ULAYA

  IMEWEKWA AGOSTI 27, 2013 SAA 6:09 USIKU
  MPANGO mzima. Kidokezo cha mpango wa pili ni rahisi: tumia, tumia, tumia. 
  Arsenal imefuzu kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa usiku huu, kiulaini ikiitoa Fenerbahce.
  Arsene Wenger sasa anatakiwa hadi usiku wa Jumatatu kumaliza tatizo lake sokoni kwa kununua wachezaji.
  Mabao mawili ya Aaron Ramsey Uwanja wa Emirates katika dakika za 24 na 72 usiku huu yameifanya Arsenal iwatoe Waturuki kwa jumla ya 5-0, baada ya awali kushinda 3-0 ugenini.  
  Kikosi cha Arsenal leo kilikuwa: Szczesny, Jenkinson, Sagna, Mertesacker, Monreal, Wilshere, Ramsey, Cazorla, Walcott/Miyaichi dk73, Giroud/Sanogo dk59 na Podolski/Gibbs dk48. 
  Fenerbahce: Demirel, Gonul, Bruno Alves, Korkmaz, Erkin, Sahin, Baroni/Potuk dk65, Meireles, Kuyt/Webo dk65, Emenike, Sow/Topuz dk82. Arsenal's Aaron Ramsey celebrates after opening the scoring against Fenerbahche at the Emirates
  Aaron Ramsey akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kufunga bao la kwanza dhidi ya Fenerbahche Uwanja wa Emirates
  Opening salvo: Ramsey fires home his first goal as Arsenal ease through the Champions League group stages
  Ramsey akifunga bao la kwanza
  Arsenal's Aaron Ramsey
  Aaron Ramsey amekwamisha mpira nyavuni
  Eyes on the prize: Oliver Giroud races through on goal but is unable to find the net for Arsenal
  Oliver Giroud akikimbilia mpira
  Blow: Lukas Podolski added to Arsenal's injury woes as the striker was taken off on a stretcher
  Pigo: Lukas Podolski ameongeza idadi ya majeruhi Arsenal angalia picha za chini akitolewa uwanjani
  Blow: Lukas Podolski added to Arsenal's injury woes as the striker was taken off on a stretcher
  Blow: Lukas Podolski added to Arsenal's injury woes as the striker was taken off on a stretcher

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: ARSENAL UTAIPENDA HATA KISIRI SIRI...YAFUZU KIUME HATUA YA MAKUNDI ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top