• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 28, 2013

  AZAM FC ILIVYOSAMBARATISHA 'JESHI LA TABORA' LEO, LILIKUWA BONGE LA MECHI NDANI YA MWINYI COMPLEX

  IMEWEKWA AGOSTI 28, 2013 SAA 3:48 USIKU
  Mshambuliaji wa Azam FC, akimtoka beki wa Rhino Rangers, katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini Tabora. Azam FC ilishinda 2-0.

  Gaudence Mwaikimba alikuwa mwiba leo

  Azam FC wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na Gaudence Mwaikimba

  Jabir Aziz wa Azam akigombea mpira wa juu na mchezaji wa Rhino

  Kipa wa Rhino, Abdulkarim Mtumwa akimkabili mshambuliaji wa Azam, Kipre Tchetche 

  Nurdin Bakari wa Rhino akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Azam

  Khamis Mcha 'Vialli' wa Azam FC akimgeuza beki wa Rhino

  Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Rhino

  Erasto Nyoni leo alicheza vizuri 

  Gaudence Mwaikimba aling'ara leo

  Jabir Aziz nyuma ya mchezaji wa Rhino

  Beki wa Rhino 'akiosha' mbele ya Kipre Tchetche


  Mashabiki wa Azam waliosafiri kutoka Dar es Salaam kuja kuisapoti timu leo Tabora 

  11 wa Azam walioanza leo

  Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Uyui, Rashid Mussa Ntimizi akisalimiana na Gaudence Mwaikimba

  Benchi la Ufundi la Azam, kutoka kushoto ni kocha Mkuu, Stewart Hall na wasaidizi wake, Kali Ongala, Ibrahim Shikanda na Iddi Abubakar

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOSAMBARATISHA 'JESHI LA TABORA' LEO, LILIKUWA BONGE LA MECHI NDANI YA MWINYI COMPLEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top