• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 26, 2013

  BILA MESSI, BARCA YAPATA USHINDI MWEMBAMBA LA LIGA, ILA NEYMAR ADHIHIRISHA

  IMEWEKWA AGOSTI 26, 2013 SAA 2:22 ASUBUHI
  KLABU ya Barcelona imepata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Malaga jana na kuendeleza mwanzo wao mzuri katika mbio za kutetea taji lao la La Liga.
  Mabingwa hao walimkosa majeruhi Lionel Messi na ilisota kupata bao hilo pekee hadi beki wa pembeni Adriano alipokatiza upandd wa kulia kuingia ndani kabla ya kufumua shuti kali lililotinga nyavuni kabla ya mapumziko.
  Mshambuliaji Mbrazil, Neymar aliingia kipindi cha pili na kuonyesha alistahili kuigharimu Barca Pauni Milioni 50.
  Youngster: £50million man Neymar came on in the second-half an upped the tempo for Barcelona
  Nyota kinda: Mchezaji mwenye thamani ya Pauni Milioni 50, Neymar aliingia kipindi cha pili na kufanya vizuri
  Difference: Adriano celebrates with his Barcelona team-mates after scoring
  Tofauti: Adriano akishangilia na wachezaji wenzake wa Barcelona  baada ya kufunga
  Pants up: Malaga's Sergio Sanchez shows his annoyance when his side missed a glorious chance
  Hasira: Sergio Sanchez wa Malaga akionyesha hasira zake baada ya timu yake kukosa bao la wazi
  Speed: Barcelona's Alexis Sanchez runs away from Malaga's Vitorino Antunes
  Kasi: Alexis Sanchez wa Barca akimtoka Vitorino Antunes wa Malaga
  Physical: Malaga's defender Jesus Gamez gets a yellow card for ruthlessly blocking off Neymar
  Kazi kazi: Beki wa Malaga, Jesus Gamez alipewa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Neymar
  Wry smile: Gerardo Martino looks on after as his side win their second La Liga match
  Tabasamu: Gerardo Martino baada ya ushindi jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: BILA MESSI, BARCA YAPATA USHINDI MWEMBAMBA LA LIGA, ILA NEYMAR ADHIHIRISHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top