• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 30, 2013

  ETO'O ATAMBULISHWA RASMI CHELSEA NA KUKABIDHIWA UZI WA BLUU

  IMEWEKWA AGOSTI 30, 2013 SAA 10: 57 JIONI
  MSHAMBULIAJI Samuel Eto'o amesainisi Mkataba wa mwaka mmoja na Chelsea jana kwa mshahara wa Pauni Milioni 7 kwa mwaka.
  Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 32 ametambulishwa rasmi leo baada ya kukamilisha vipimo vya afya.
  Mwanasoka huyo bora mara nne Afrika ambaye aliwasili London juzi usiku kwa treni kutoka Ufaransa hadi Stesheni ya St. Pancras, alisema: "Nimeona ubora ambao wanao Chelsea, na nimekuwa nikimfurahia sana Jose Mourinho kabla, hivyo wakati nafasi inapotokea, huwa nafurahia kuichukua.
  Parading: Eto'o has signed for Chelsea
  Uzi wa bluu: Eto'o akiwa na jezi ya Chelsea
  Pen to paper: Eto'o signs the contract in the presence of Chelsea club secretary and director David Barnard
  Anamwaa wino: Eto'o akisaini Mkataba na Katibu wa Chelsea, David Barnard
  Pleased to be here: Eto'o has signed on a free transfer
  Raha kuwa hapa: Eto'o amesaini kama mchezaji huru
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: ETO'O ATAMBULISHWA RASMI CHELSEA NA KUKABIDHIWA UZI WA BLUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top