• HABARI MPYA

    Sunday, August 18, 2013

    MASHABIKI SIMBA, YANGA HATA AZAM NA ASHANTI MKITAKA KWENDA KUZISAPOTI TIMU ZENU ZIKICHEZA MBEYA, USAFIRI NI HUU...SUMRY NDIO MPANGO MZIMA

    IMEWEKWA AGOSTI 18, 2013 SAA 2:14 USIKU
    Moja ya mabasi mapya na ya kisasa kabisa ya kampuni ya Sumry kwa safari za mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, baada ya kuwasili Dar es Salaam kuanza safari hizo za mikoa ya Mbeya, Iringa, Songea na Rukwa.  

    Mwonekano wa ndani, unaweza kujionea TV kubwa na siti maridadi

    Mabasi ya kutosha katika yadi kwa safari za Nyanda za Juu Kusini

    Siti zake zina nafasi ya kutosha, unaweza kunyoosha miguu vizuri bila kuumia na kufika safari yako bila uchovu

    Mashabiki wa Simba, Yanga, Ashanti na Azam wakitaka kwenda kuzisapoti timu zao zitakapocheza na Mbeya City na Prisons, huu ni usafiri mwafaka

    Full kiyoyozi; Ukiwa ndani unakula kipupwe hadi mwisho wa safari. Madereva weledi, wenye hekima, makondakta wastaarabu wenye kujali na kuheshimu wateja. Huduma bora na safari salama ndio falsafa kuu ya Sumry.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MASHABIKI SIMBA, YANGA HATA AZAM NA ASHANTI MKITAKA KWENDA KUZISAPOTI TIMU ZENU ZIKICHEZA MBEYA, USAFIRI NI HUU...SUMRY NDIO MPANGO MZIMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top