• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 20, 2013

  WACHEZAJI WOTE AZAM FC WAPIMWA AFYA LEO, MAMBO YA ULAYA

  IMEWEKWA AGOSTI 20, 2013 SAA 5:43 ASUBUHI
  Kiungo wa Azam FC, Jabir Aziz Stima akifanyiwa vipimo vya afya katika zahanati ya Uwanja wa Dar es Salaam asubuhi ya leo, kabla ya kuanza rasmi kwa msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mwishoni mwa wiki. 

  Wachezaji wa Azam wakisubiri kupimwa

  Mshambuliaji Seif Abdallah Karihe akiandikiwa majibu ya vipimo vyake

  Kiungo Ibrahim Mwaipopo akisubiri kupimwa

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: WACHEZAJI WOTE AZAM FC WAPIMWA AFYA LEO, MAMBO YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top