• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 28, 2013

  BINGWA WA DUNIA WA NDONDI MAREKANI ATUA DAR KUMKABILI CHEKA IJUMAA HII

  IMEWEKWA AGOSTI 28, 2013 SAA 1:01 ASUBUHI
  Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na bondia Phil Williams wa marekani baada ya kutua nchini kwa ajili ya mpambano wake na Francis Cheka utakaofanyika August 30 siku ya ijumaa hii  katika ukumbi wa Diamon Jubilee jijini Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
  Bondia Phil Williams wa marekani akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni wadau waliokuja kulaki uwanja wa ndege baada ya kutua usiku huu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
  Bondia Phil Williams wa marekani akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBU
  Bondia Phil Williams wa marekani akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBU
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: BINGWA WA DUNIA WA NDONDI MAREKANI ATUA DAR KUMKABILI CHEKA IJUMAA HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top