• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 27, 2013

  BONDIA FRANCOIS BOTHA ATUA DAR ES SALAAM LEO KWA AJILI YA PAMBANO LA CHEKA

  IMEWEKWA AGOSTI 27, 2013 SAA 2:57 USIKU
  Mgeni rasmi katika mpambano wa Kimataifa wa Ubingwa wa WBF Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'White Buffalo' katikati baada ya kupokelewa alipowasili katika uwanja wa kumataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Wengine kushoto ni Rais wa TPBO, Yassin Abdallah na Rais wa World Boxing Federation, Howard Goldbeg pamoja na Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila 'Super D'.  Mpambano wa ubingwa wa Dunia wa chama hicho unafanyika kwa mara ya kwanza kwa kuwakutanisha Mabondia Fransic Cheka na Phil Williams wa Marekani siku ya August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee siku ya ijumaa hii Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

  BONDIA WA DUNIA FRANCOIS BOTHA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA JAY MSANGI RAISI WA WBF ,HOWARD GOLDBEG,YASSINI ABDALL, NA KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

  Kocha wa kimataifa wa mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila wa pili kutoka kulia akifuraia jambo na Francois Botha pamoja na yassini Abdalla kulia

  Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwafikisha wageni katika hotel ya Southern sun wa pili ni Rais wa WBF, Howard Goldbeg, Rais wa TPBO, Yassini Abdallah na mmoja wa Majaji wa mpambano huo pamoja na Bondia bingwa wa Uzito wa Juu Duniani Francois Botha Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

  BONDIA WA DUNIA FRANCOIS BOTHA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA JAY MSANGI RAISI WA WBF ,HOWARD GOLDBEG,YASSINI ABDALL, NA KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D'


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: BONDIA FRANCOIS BOTHA ATUA DAR ES SALAAM LEO KWA AJILI YA PAMBANO LA CHEKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top