• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 31, 2013

  RAUNDI 12 ZA CHEKA NA MMAREKANI ZILIVYOKUWA...NA PIA KUNA NAMNA MASHALI ALIVYOMFUNGA MDOMO MAUGO...c

  IMEWEKWA AGOSTI 31, 2013 SAA 5:15 ASUBUHI
  Kitu kimefika; Bondia Mtanzania Francis Cheka akiwa amemtupoia konde Mmarekani, Phil Williams katika pambano la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF uzito wa Super Middle jana usiku kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Cheka alishinda kwa pointi.

  Refa akishuhudia Cheka na Williams

  Cheka na Williams

  Kitu kimefika, Cheka anaadhibu mtu

  Cheka kulia

  Hiyo kaiona; Williams akiinama kuipisha ngumi ya Cheka

  Hiyo je?

  Na hiyo?

  Konde la Thomas Mashali likiwa limetua kidevuni mwa Mada Maugo katika pambano la Raundi 10. Mashali alishinda kwa pointi

  Inaitwa 'left hook' ya Mashali ikiwa imefika shavu la Maugo

  Lakini Maugo alifanikiwa kumchana Mashali

  Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara akiwa na mabondia Cheka na Williams kabla ya pambano lao   

  Cheka alifanya vizuri jana

  Hili kofi; Cheka akimtandika Williams

  Mfalme; Cheka akiwa amebebwa juu juu baada ya pambano

  Wazee wa Azam; Kulia Nassor Idrisa 'Father' na kushoto Abubakar Mapwisa 'BIN ZUBEIRY'

  Bosi na wapambe; Mmiliki wa kampuni ya Global Publisher Limited, Eric Shigongo akiwa na vijana wake jana 

  Bingwa wa zamani wa dunia, Francois Botha wa Afrika Kusini kushoto akiwa na BIN ZUBEIRY jana 

  King Class kulia akimtupia kitu Simba Watunduru

  Makaburu walipokutana; Makamu Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia na Botha

  Mashali na Maugo

  Mashali alikalishwa chini na Maugo jana

  Jamal Malinzi na Botha

  Mchumia Tumbo akiwa amemkalisha chini Chupindi

  Francis Miyeyusho kushoto

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: RAUNDI 12 ZA CHEKA NA MMAREKANI ZILIVYOKUWA...NA PIA KUNA NAMNA MASHALI ALIVYOMFUNGA MDOMO MAUGO...c Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top