KIUNGO wa Kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki akiwa kwenye mazoezi ya Yanga usiku wa Ijumaa Uwanja wa Julai 5, 1962 Jijini Algiers nchini Algeria. kabla ya mchezo wa marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, USM Alger hapo hapo Jumamosi.
Yanga inakabiliwa na mtihani wa kupindua matokeo baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza nyumbani Jumapili iliyopita Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
PICHA: MAZOEZI YA YANGA KABLA YA KUIVAA USM ALGER JUMAMOSI
PICHA: MAZOEZI YA YANGA KABLA YA KUIVAA USM ALGER JUMAMOSI
0 comments:
Post a Comment