• HABARI MPYA

  Thursday, June 08, 2023

  AZAM FC YAMTAMBULISHA RASMI FEI TOTO


  KLABU ya Azam FC imemtambulisha rasmi kiungo Feisal Salum Abdallah kwa mkataba wa hadi mwaka 2026 baada ya kuachana na klabu ya Yanga, zote za dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAMTAMBULISHA RASMI FEI TOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top